UTASA.
AINA ZA UTASA.
UTASA KWA MWANAMUME.
Utasa upo aina mbili:
▪Kwanza: UTASA WA KIUNGO:
Hutibiwa kwa madaktari kama wakiweza kuutibu
▪PILI; UTASA KWA SABABU YA MGUSO WA JINI NDANI YA MWILI WA MWANADAMU.
Hutibiwa kwa Quran dua na nyurad.
▪️Yafahamika kuwa, utendaji wa kuzalisha -kwa idhini ya Allahﷻ -ni kiwango cha wadudu wa manii kwa mwanamume wawe ni zaidi ya milion ishirini (20000000/=). katika sentimita za mraba.
Mara nyingine shetani huwa akiyabana mapumbu ya mwanamume yanayotoa wadudu wa manii, au huwa akitumia njia nyingine mapumbu hayo yakatoa kiwango kidogo chini zaidi ya itakiwavyo, ikawa ndio sababu ya kutozalisha.
Wakati wadudu wa manii wanapogura kutoka katika mapumbu hadi katika kibofu cha manii, wadudu hawa huhitajia kiowevu cha ute kinachotolewa na tezi ya koubar na kuimimina katika kibofu cha manii wakati ambapo wadudu hawa waliohifadhiwa katika kibofu hiki huwa wakiila.
Na hapa shetani huwa ana tabia nyingine katika tezi hiyo ya koubar, huwa akiizuwia kutoa kiowevu cha ute, hapobasi wale wadudu waliohifadhiwa katika kibofu cha manii hawapati chakula, basi huwa wakifa na ikawa vigumu mtu kuzaa.
UTAFAUTISHAJI BAINA YA UTASA WA KIMAUMBILE NA UTASA ULIOSABABISHWA NA JINI.
▪DALILI ZA UTASA ULIONASIBISHWA NA JINI.
1. Kuhisi dhiki kifuani hasa baada ya Alasiri, na pengine huendelea hadi katikati ya usiku.
2. Kutokuwepo kiakili na usahaulifu.
3. Kuhisi maumivu chini ya pingili la uti wa mgongo.
4. Wasiwasi na hamaniko usingizini.
5. Usingizini mwake huwa akiona ndoto za kutisha.
UTASA KWA MWANAMKE;
vilevile utasa kwa mwanamke upo aina mbili
1. UTASA WA KIMAUMBILE.
hivi ndivyo alivyoumbwa na Allah awe tasa.
2. UTASA ULIOSABABISHWA NA JINI ALIYESTAKIRI KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE, KWA NAMNA YA KUYAHARIBU MAYAI, NA HAPO ISIWEZEKANE KUZAA.
Au JINI atamwacha mpaka mimba ikamilike, lakini baada ya miezi kadhaa ya mimba, shetani huukanyaga mshipa katika kizazi cha mwanamke damu ikateremka na ikasababisha kuavya (kuharibu mimba).
Mara nyingi kuavya kunakaririwa huwa kumesababishwa na jini.
Hali nyingi za aina hii zimetibiwa. Imethubutu katika Sahihul-Bukhari na muslim kuwa shetani hupita ndani ya mwanaadamu mapito ya damu.
Bukhari 4/282 fat-hi) na Muslim ( 14/155 Nawawy).
rejea Kitabu;
الصرم البتارفي التصدي السحرة الأشرار
Mwandishi; Shaykh Wahid Abdus Salam Bali.
Mfasiri; Ustadh Uthman Muhammad Ali.
DAWA YA UGUMBA /UTASA KWA UWEZO WA MOLA MLEZI .
Ni vizuri hali hii mume na mke wahudhurie hospitali wafanyiwe uchunguzi na Daktari bingwa .
Hali ikiwa imeambatana na dalili za sihiri waone wasoma Ruqya ya kisheria waweza kuitengua kwa uwezo wa Allahu hiyo sihiri .
TUMIA DAWA HII KUJITIBIA UTASA .
Asali lita moja ,
Mdalasini nusu kilo ,
Changanya vizuri kunywa ujazo wa kikombe cha kahawa 1 X3 kila siku
anywa mume na mke a kumuomba mola mlezi awaruzuku mtoto .
KWA MAHITAJI YA DAWA NZURI YA CHANGO LA UZAZI WASILIANA NASI UIPATE RIJALI EXTRA ZAWADI KWA WANANDOA.
Mwandishi Abuu Ajmi حفظه الله
_____________________________________
Kwa Tiba na Ushauri wasiliana na Subira Tiba Asilia
+255758200163
+254743101242
DAR ES SALAM
TANZANIA.
🔴TUWEWAADILIFU USIBADILI CHOCHOTE KWENYE MAKALA HII.
▪️▫️◾️◽️◼️◻️⬛️◻️◼️◽️◾️▫️▪️
No comments:
Post a Comment