DAWA PERA (MAJANI).
HARUFU MBAYA YA KINYWA NA VIDONDA VYA MDOMNI (MOUTH ULCER).
Chemsha majani sita ya mpera dakika 10 sukutua kwayo .
MABAKA YA CHUNUSI (BLACK HEAD /MAKOVU YATOKANAYO NA MAJERAHA).
Saga majani ya mpera na maji kidogo sugulia sehemu zilizo athirika
KUFUNGA KUHARISHA .
Chemsha majani ya mpera kwa maji vikombe 4 kwa dk 5 kunywa nusu glass x5 kwa siku.
KUONDOA UKURUTU (ECZEMA).
Changanya unga wa majani yaliyo kauka ya mpera na maji kidogo pakaa sehemu zenye ukurutu. 1x2 siku 10
KANG`ATWA NA MDUDU.
Kamulia majani ya mpera mabichi sehemu uliyo ng`twa.
KUHARA DAMU (DYSENTARY),KUKOSA CHOO, TUMBO KUJAA GESI NA KUVURUGIKA TUMBO.
Chemsha mizizi na majani ya mpera kunywa kikombe moja 1X3 kila siku .
MAUMIVU YA VIUNGO (ARTHRITIS ).
Twanga majani ya mpera tia maji kidogo paka sehemu zenye maumivu .
FUNGUSI ZA MIGUUNI.
Unga wa majani ya mpera changanya na maji kidogo . Paka katikati ya vidole vilivyo na fungasi (twanga unga uwe laini sana ).
UGONJWA WA FIZI.
Chemsha majani ya pera , Chumvi ,Pilipili manga (unga ) kwa dakika 5 sukutua x2 kwa siku .
KUTOONA VIZURI.
Kunywa glass moja ya majani ya mpera kila siku kwamwezi moja .
IMEANDLLIWA NA ABUU AJMI حفظه الله
________________________________
Kwa Tiba na Ushauri wasiliana na Subira Tiba Asilia
+255758200163
+254743101242
DAR ES SALAM
TANZANIA.
No comments:
Post a Comment