TENDE DAWA YA MARADHI MENGI.
KUPATA CHOO KWA TABU (CONSTIPATION)
▶Loweke tende tano kwa maji glass moja ya vugu vugu usiku kunywa kila siku asubuhi kabla hujala chochote 1X1 kwa siku wiki 1 .
KUONGEZA KINGA YA MWILI.
▶Unga wa tende vijiko 2,
▶Asali vijiko 6,
▶Mafuta ya habat saudaa 6,
▶Maji moto kikombe kimoja,
Changanya vizuri kunywa 1x1 kila siku
AU
Kula tendo tano kwa kijiko kimoja cha habat saudaa Asubuhi na usiku kila siku .
KUWAHI KUFIKA KILELENI.
▶Unga wa tende kijiko cha chakula kimoja,
▶Maziwa glass moja ,
▶Asali vijiko viwili vya chakula,
changanya kunywa ( (Kabla ya kulaa na asubuhi kabla hujala chochote ) 1x2 kwa siku.
KUTOONA VIZURI SEHEMU YENYE KIZA (NIGHT BLINDNESS).
▶Tende 5,
▶Habat saudaa kijiko cha chakula 1
▶Karoti 2. kadiria maji kiasi blend
kunywa kila siku .
Ukikosa vingine kula tende kila siku.
JINO KUUMA
⚡Chemsha mizizi ya tende dakika 10 sukutua mara tatu kwa siku.
KUTOSIMAMISHA UUME VIZURI (UUME LEGELEGE ).
▶Tende 5, ( toa tembe kausha )
▶Kiganja kimoja cha mbegu za maboga,
▶Almonds 5,
Saga viwe unga tia kijiko kidogo cha chai kwenye maziwa kunywa x3 kwa siku wiki tatu utakuwa Mbogo mtu .
AU,
▶Kiganja kimoja cha majani ya tende ya ponde kisha loweka na maji kiasi .
chuja changanya na Asali kunywa 1x3 kila siku .
UPUNGUFU WA DAMU NA MAZIWA YA KUNYONYESHA KUTOKA KIDOGO.
▶Loweka tende tatu kwenye glass ya maziwa usiku , kunywa mapema asubuhi kabla hujala chochote.
AU
▶Kula tende 4 kwa maziwa moto kabla ya kulala,
PURUKUSHANI ZA RIJALI EXTRA.
(wasiliana nasi ujipatie dawa nzuri Rijali Extra ya nguvu za kiume).
UPUNGUFU WA MANII KWENYE SHAHAWA (OLIGOSPERMIA).
⚡Loweka tende tano kwenye maziwa ya mbuzi yaache yatulie lisaa limoja kisha blend .
Kunywa mapema asubuhi kabla hujala chochote na Asubuhi lisaa kabla hujalala.
MAFUA
Chemsha tende 4 kwa maziwa glass moja
kunywa 1x1 kila siku
Mwandishi Abuu Ajmi حفظه الله
_____________________________________
Kwa Tiba na Ushauri wasiliana na Subira Tiba Asilia
+255758200163
+254743101242
DAR ES SALAM
TANZANIA.
🔴TUWEWAADILIFU USIBADILI CHOCHOTE KWENYE MAKALA HII.
▪️▫️◾️◽️◼️◻️⬛️◻️◼️◽️◾️▫️▪️
No comments:
Post a Comment