DAWA YA MAFUA, KIFUA KIKAVU NA NIMONIA.
MAHITAJI.
YAI LA KIENYEJI 1,
ASALI VIJIKO 2,
CHANGANYA NA KOROGA VIZURI.
MATUMIZI.
WAKUBWA KUNYWA YOTE 1X1 .
WATOTO CHINI YA MIAKA 8.
KIJIKO CHA CHAKULA X3 KWA SIKU .
FAIDA ZA DAWA HII KWA UWEZO WA ALLAHﷻ،
-Kutibu kifua kikavu na Nimonia,
-Kutibu Mafua,
-Kutibu mzio/Allergy ,
-Kuongeza na kuimarisha kinga ya mwili,
-Kuuwa baktria wabaya mwilini,
-Kuimarisha afya ya mwili.
faida ninyingi sana.
MWANDISHI ABUU AJMI حفظه الله
____________________
Kwa Tiba na Ushauri wasiliana na Subira Tiba Asilia
+255758200163
+254743101242
DAR ES SALAM
TANZANIA.
🔴TUWEWAADILIFU USIBADILI CHOCHOTE KWENYE MAKALA HII.
▪️▫️◾️◽️◼️◻️⬛️◻️◼️◽️◾️▫️▪️
No comments:
Post a Comment