FIBROIDS /MAYOMA (UVIMBE KWENYE KIZAZI).
JE UNASUMBULIWA NA UVIMBE KWENYE KIZAZI AU UNA NDUGU JAMAA AU RAFIKI MWENYE TATIZO HILI ?
USIWAZE SANA, JIPATIE DAWA MUJARABU KWA UWEZO WA MOLA INAYOMALIZA UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASUAJI.
Mayoma, Ni uvimbe usiyokuwa na kansa unakua katika tabaka la misuli ya kizazi katika tissue zinazozunguka kizazi.
Uvimbe unaanza kwa kukua kwa misuli laini kama ukubwa wa harage kisha kuwa kubwa kama tikitimaji.
Kwa kawaida ukuaji wa uvimbe huanza katika umri wa miaka 16 hadi 50.
Hii ndiyo miaka ya uzazi ambapo kiwango cha estrogen huwa juu .
KUNA AINA NNE (4) ZA MAYOMA (FIBROIDS).
Uainishaji wa aina za fibriods unategemea na sehemu ilipo katika Mji wa Kizazi .
INTRAMURAL FIBROIDS;
Aina hiihutokea katika misuli ya kuta za kizazi
Hii ndio aina ya mayoma inayowatokea wanawake wengi.
SUBSEROSAL FIBROIDS;
Hukua ndani ya safu ya nje ya tishu ya kizazi na kupanua ukuta unaozunguka Mji wa kizazi.
Uvimbe kama huu Unaweza kukua zaidi na kua Pedunculated fobriods huenda ukawa uvimbe mkubwa sana.
SUBMUCOSAL FIBROIDS;
Hutokea kwenye misuli chini ya ngozi laini ya kuta za mji wa uzazi.
Inaweza kushinikiza (kujisukuma) ndani ya uwazi (cavity) wa mji wa uzazi.
CERVICAL FIBROIDS;
Aina hii hujijenga kwenye shingo ya Tumbo la kizazi (cervix).
DALILI ZA MAYOMA (FIBROIDS)
♦️Damu ya hedhi kutoka Nyingi , nzito, na maumivu wakati wa siku za hedhi (Menorrhagia).
♦️Upungufu wa damu kutokana na damu kutoka nyingi.
♦️Maumivu ya kiuno, mgongo au mguu .
♦️Kukosa choo au kupata choo kama cha mbuzi kwa tabu
♦️Maumivu chini ya kitovu
♦️Kukojoa mara kwa mara
♦️Maumivu wakati wa tendo la ndoa (Dyspareunia )
♦️Matatizo ya kushika mimba , kubeba mimba na kuzaa
♦️Mimba kutoka mara kwa mara
♦️Kama fibroids ni kubwa sana ,Uzito unaweza kuongezeka na chini ya kitovu kuvimba .
Upatapo mojawapo ya dalili hizo fika kituo cha afya kwa vipimo zaidi.
kwa mahitaji ya dawa ya uhakika ya fibroids wasilian nasi +255758200163.
✍۔MWANDISHI ABUU AJMI حفظه الله
DAWA YA FIBROIDS .
DAWA HII NI BEI RAHISI SANA KARIBU UPONE FIBROIDS BILA UPASUAJI KWA UWEZO WA MOLA MLEZI.
Kwa Tiba na Ushauri wasiliana na Subira Tiba Asilia
+255758200163
+254743101242
DAR ES SALAM
TANZANIA.
🔴TUWEWAADILIFU USIBADILI CHOCHOTE KWENYE MAKALA HII.
▪️▫️◾️◽️◼️◻️⬛️◻️◼️◽️◾️▫️▪️
⛔️TAHADHARI CORONA IPO
⛔️EPUKA MIKUSANYIKO
⛔️NAWA MIKONO NA ACHA KUWAPA MIKONO WENGINE*
💯TULIZANA NYUMBANI KAMA HUNA ULAZIMA WA KUTOKA
No comments:
Post a Comment